clock

src="http://onlinehtmltools.com/clocks/digital-clock/clock2/" name="iframe985426" width="320px" height="130px" scrolling="No" frameborder="0" align="center">
Analog Clock For Websites

Saturday, January 13, 2018

utenzi

karibuni katika blogi yangu ya ushairi , katika blogi hii tutazungumzia kuhusu tanzu za ushairi.
tukiianza nz maana ya ushairi.
ni tungo yenye muundo wa lugha ya kisanii na inayofuata utaratibu wa vina na mizani na matukio juu ya maisha au jambo.
kwa kuanzia tanzu ya ushairi amba yo ni utenzi.
utenzi ni utungo wa masimulizi na maelezo marefu. kama tuonavyo hapo chini.

UTENZI WA RAISI MAGUFULI





NGONJERA
ni ushairi wa majibizano bain. 
a ya pande mbili kati ya mtu mmoja au makundi mawili yanayojibizana kuhusu jambo fulani, upande mmoja hukubali na mwengin e hukataa.
MFANO WA NGOJERA 


NYIIMBO
Nyimbo ni aina ya sanaa katika fasihi ambayo hutumia lugha teule, sauti na kiimbo maalum.
Aghalabu nyimbo hutumia ala za mziki kama vile ngoma. Nyimbo zinaweza kuimbwa na mtu mmoja au zaidi.
Wimbo hugawanywa katika beti na mishororo. Nyimbo nyingi huwa na kiitikio au mstari ambao hurudiwa rudiwa.


MFANO WA NYIMBO


ufundi

ususi